SISI NI NANI
KUHUSU SISI
VIASERVICE hutoa huduma za kibiashara kwa mtandao wa usafirishaji kupitia utaalam wake na ushirika wa kimkakati, kwa kuendesha huduma za ubunifu na suluhisho, kwa Pamoja kushughulikia mahitaji ya uvumbuzi wa ”shughuli za kibiashara za kusafirisha bidhaa kwa wateja siku za usoni"
TUNACHOFANYA
SHUGHULI ZETU
Tunatoa suluhisho maalumu kwa sekta nzima ya usafirishaji,
katika nyanja za kibiashara za kusafirisha bidhaa kwa wateja,
kama vile Kumbukumbu ya Utoaji wa Elektronikia (eCMR), suluhisho la Udhamini wa Kontena,
na ubunifu wa huduma na bidhaa zingine.
BIDHAA ZETU
PORTFOLIO
DHAMANA YA KONTENA
Suluhisho la kushughulikia vizuizi vya uchumi na biashara ya amana za kontena.
TRANSPORT PORTAL
HABARI
HABARI MPYA KABISA
No posts found
RASILIMALI WATU
VIASERVICE
Makao makuu ya VIASERVICE yapo Uswisi, na ofisi nchini Uholanzi na Afrika Mashariki.
Viaservice inaundwa na wataalam wa tasnia wenye uzoefu mkubwa katika shughuli za kibiashara za kusafirisha bidhaa kwa wateja, fedha na uhandisi wa programu.